Odinga ana jambo la kujifunza kwa laigwanan Lowassa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli Rais akisha apishwa biashara ya uchaguzi inakuwa imefikia mwisho NO more politics but wananchi waachwe wakafanye shughuli za kuwaletea maendeleo. Ndivyo alivyofanya Lowassa na maalim Seif akaiga mfano, sasa ni zamu ya Odinga kujifunza na kupokea kijiti sisi sote ni wana wa Afrika mashariki. Nawasilisha!
 
lowassa na maalim wamenywea kwa msimamo wa jpm... hakuna fyofyoko kama enzi za jk.... chezea magu ww
 
Kiukweli Rais akisha apishwa biashara ya uchaguzi inakuwa imefikia mwisho NO more politics but wananchi waachwe wakafanye shughuli za kuwaletea maendeleo. Ndivyo alivyofanya Lowassa na maalim Seif akaiga mfano, sasa ni zamu ya Odinga kujifunza na kupokea kijiti sisi sote ni wana wa Afrika mashariki. Nawasilisha!
Mwambie swahiba wake amshauri si wako karibu

Ova
 
Kiukweli Rais akisha apishwa biashara ya uchaguzi inakuwa imefikia mwisho NO more politics but wananchi waachwe wakafanye shughuli za kuwaletea maendeleo. Ndivyo alivyofanya Lowassa na maalim Seif akaiga mfano, sasa ni zamu ya Odinga kujifunza na kupokea kijiti sisi sote ni wana wa Afrika mashariki. Nawasilisha!

Yaonekana Odinga Raila anafurahiya anapoona raia na mashabiki wake wanakufa kila siku na biashara zao zinaenda kombo, yaani hana huruma kwa watu wa nchi yake. Alijaribu kuweka mpira kwapani ili mechi isiendelee lakini Dr Ekuru alifanya vyake na mahakama ikasema mechi iendelee na washindani 7 kwani wa nane(Raila) alitimka. Alitetea katiba yeye mwenyewe lakini amekuwa wa kwanza kuivunja. Raia wanakufa na biashara kuharibika katika ngome zake za Nyanza kazikazini na Kibra(Nairobi slums)!
 
Back
Top Bottom