johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwambie swahiba wake amshauri si wako karibuKiukweli Rais akisha apishwa biashara ya uchaguzi inakuwa imefikia mwisho NO more politics but wananchi waachwe wakafanye shughuli za kuwaletea maendeleo. Ndivyo alivyofanya Lowassa na maalim Seif akaiga mfano, sasa ni zamu ya Odinga kujifunza na kupokea kijiti sisi sote ni wana wa Afrika mashariki. Nawasilisha!
Mkuu kama wewe tu umefanikiwa kunisoma basi yeye keshanisoma na kunielewa!mpigie au mtweet
Mkuu kama wewe tu umefanikiwa kunisoma basi yeye keshanisoma na kunielewa!
Siasani hakuna uswahiba!Mwambie swahiba wake amshauri si wako karibu
Ova
sawa mkuulowassa na maalim wamenywea kwa msimamo wa jpm... hakuna fyofyoko kama enzi za jk.... chezea magu ww
Kiukweli Rais akisha apishwa biashara ya uchaguzi inakuwa imefikia mwisho NO more politics but wananchi waachwe wakafanye shughuli za kuwaletea maendeleo. Ndivyo alivyofanya Lowassa na maalim Seif akaiga mfano, sasa ni zamu ya Odinga kujifunza na kupokea kijiti sisi sote ni wana wa Afrika mashariki. Nawasilisha!