Odinga apinga tarehe mpya ya uchaguzi Kenya

Odinga apinga tarehe mpya ya uchaguzi Kenya

Yuko sahihi maana mwamuzi aliyemtuhumu ndo atakuwa mwamuzi tena. Atahujumiwa mpaka kura zake zipungue maradufu.
Tume ibadilishwe tu ndo njia salama kwa wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app

Inatumia uamuzi wa korti gani kubadilisha tume?
Supreme Court iliamuru IEBC ifanye uchaguzi upya ndani ya 60 days. Hawakusema tume mpya ifanye uchaguzi.

Hauwezi itikia amri za korti zinazokupendeza alafu ukatae zenye hazikupendezi.
 
kaenda kushtaki uchaguzi umefutwa tarehe imetangazwa hataki tena huyu mzee anatafuta balaa huyu

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli

Hataki aliemsaidia Uhuru kuiba asimamie tena Uchaguzi kwa kuwa ataiba tena
 
Duuuuhhh!

Hii ngoma hawezi kuicheza huyu rafiki wa Kipenzi chetu mzee wa Makinikia
 
Inatumia uamuzi wa korti gani kubadilisha tume?
Supreme Court iliamuru IEBC ifanye uchaguzi upya ndani ya 60 days. Hawakusema tume mpya ifanye uchaguzi.

Hauwezi itikia amri za korti zinazokupendeza alafu ukatae zenye hazikupendezi.

Kuepuka Vurugu hizo Ndio sababu Hayati Baba wa Taifa akiweka Katiba ambayo unasema Tume ndio Kama Refa Uwanjani, akisema Weka Mpira Kati ni goli Hata Kama uligonga Mwamba kuepusha heka heka Kama hizi
 
The court that overturned the will of the people is the same one that oordered IEBC to conduct a free poll within 60. They didn't tell Odinga to guide the IEBC
You are right..the same iebc not the same people.iebc is a body not a person na at a akitoka chiloba au chebukati itabaki kuitwa iebc haitachange jina
 
Raila anataka kupewa ushindi wa mezani sasa...
 
hata kabla ya uchaguzi wa tarehe nane uliokwisha Nasa hawakua tayari kwa uchaguzi huo...bado wako honeymoon wanasherekea ushindi wa Mahakamani...Jubilee wao washaanza kampeni
Kitendo cha wafuasi wa Jubilee kutofanya fujo baada ya kubatilishwa matokeo na mahakama kimewastua Nasa maana walidhani dude lingeamshwa ili nchi ichafuke na hatimae waseme waunde nchi ya nusu mkate...usione wanakataa hii tarehe vichwa vinawauma
 
Kaanza kujiona Mungu!Atakavyo itakuwa!Alianza kuwaambia Wakenya wasifanye uumbaji usiku wa kuamkia uchaguzi ikawa,sikubaliani na matokeo ikawa,Leo kaja na hili akipata huo urais atakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The same rotten iebc which messed up the previous election is dictating the terms for the forthcoming election.... If Uhuru wins let him win in a free and fair election and not make a mockery out of the elections
But do not forget that the same IBEC gave you MPs
 
uyu anataka mgao wa madaraka nothing else ajue tu ICC itamuusu soon
 
But do not forget that the same IBEC gave you MPs
Yap..we don't argue with that.infact NASA was clear that the whole election was a sham.dont forget that the petition at the supreme court was for the presidential election not gubenatorial,woman rep or mca so you didn't expect the judges to rule on an entirely different case by nullifying even the mca,or did you?.that's why there is a window of opportunity for those who feel it wasnt fair to petition be it from jubilee or nasa
 
Back
Top Bottom