Odinga asema kutahiriwa siyo lazima, apendekeza watu wabakie na ngozi zao

Odinga asema kutahiriwa siyo lazima, apendekeza watu wabakie na ngozi zao

Hii pia ni fact kuonesha Mungu hayupo.

Kama kazi ya Mungu haina makosa kwanini kukata govi ndio option ya kumfanya mwanaume awe bora zaidi?
TB Joshua alikua na majibu
 
Kiukweli Kuna madhara makubwa kuliko tunavyo fikiri mzungu hanaga kitu kinaitwa bule
Tohara Ina punguza ukubwa wa uume/,tohara inapunguza uwezo wa mtu kudum kwenye tendo la ndoa,tohara inapunguza Radha ya tendo kwa mwanaume,tohara ndiyo chanzo cha kibamia

Hayo mengine ni ushamba tuu
Actor wa kihindi
 
😂😂😂😂😂😂😂 Huyu Mzee huwa hakosi kichekesho
 
Kutahiriwa au kutokutahiriwa ni Mila na Imani tuu. Hazina impact yoyote kwenye Maisha. Wapo waliotahiriwa ni Maskini wa kutupwa wapo ambao hawajatahiriwa ni Matajiri wa kutupwa na wanaishia Maisha marefu na bora
Govi ni uchafu bwana.
 
Back
Top Bottom