Odinga asema kutahiriwa siyo lazima, apendekeza watu wabakie na ngozi zao

Hii pia ni fact kuonesha Mungu hayupo.

Kama kazi ya Mungu haina makosa kwanini kukata govi ndio option ya kumfanya mwanaume awe bora zaidi?
TB Joshua alikua na majibu
 
Actor wa kihindi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huyu Mzee huwa hakosi kichekesho
 
Kutahiriwa au kutokutahiriwa ni Mila na Imani tuu. Hazina impact yoyote kwenye Maisha. Wapo waliotahiriwa ni Maskini wa kutupwa wapo ambao hawajatahiriwa ni Matajiri wa kutupwa na wanaishia Maisha marefu na bora
Govi ni uchafu bwana.
 
WATU NA VIATU ? !!?????!!!!!! Kinyonga!!!!???? Au Popo!?!???!??!! MUNGU PEKEEE?????????!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…