Odinga ataka uchaguzi mwingine tena Agosti mwaka huu

Odinga ataka uchaguzi mwingine tena Agosti mwaka huu

Itakuwa Odinga ana uhusiano wa 'damu' na Maalim Seif...

ukicheki DNA zao (kisiasa) zinafanana kabisa.!

anayoyafanya Odinga na Maalim naye ilikuwa vivyo hivyo...'Leo anazua hili,kesho anarukia jingine..

na wanachama 'nyumbu wa
NASA' wanaamini,nakusadiki kila analolisema Odinga,sawa na wenzao wa zenj...wanavyomhusudu Maalim
 
HIvi kwa akili zako mgombea wa CCM amewahi kumshinda Maalim kinyang'anyiro cha urais Zanzibar? Shithole Lumumba.
 
HIvi kwa akili zako mgombea wa CCM amewahi kumshinda Maalim kinyang'anyiro cha urais Zanzibar? Shithole Lumumba.

taratibu basii..(wewe ni Maalim?)

Jecha ndiye refa...mie mtazamaji na mpira ni dk90.
Kubali matokeo,jipangeni upya
 
Propaganda my foot
Hiyo si mliposti wenyewe
Dadeki!
Dah hata wewe ni mtu wa kueneza propanganda? Hadi sasa hivi sijaamini, na unajua vizuri hiyo picha ya Uhuru ni ya jamhuri day na si ya kuapishwa kwake! Dhuks, kennedy0000, MK254 fanyeni haki tumalize hii propaganda kwa mara ya mwisho. Msaidieni huyu na picha ya kuapishwa kwa rais Uhuru Kenyatta. Acha ntaitafuta pia nikimaliza shughuli zangu.
 
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya kupitia NASA, Raila Amollo Odinga, ametaka kufanyika kwa uchaguzi mkuu mpya tena mwezi Agosti mwaka huu 2018.

Akizungumza na BBC Raila Odinga amesema hamtambui Uhuru Kenyatta kama Rais wa nchi hiyo kwani hana kibali cha watu, ingawa hana lengo lolote la kupambana na serikali ya Kenyatta.

"Hatutamtoa Uhuru Kenyatta Ikulu anaweza kuendelea kukaa kwa amani, lakini hatuutambui Urais wake kwa sababu uko kinyume, tunataka uchaguzi mwingine na kwa mujibu wa ratiba yetu utakuwa Agosti mwaka huu”, amesema Raila Odinga.

Hivi karibuni kiongozi huyo wa upinzani nchini Kenya alijiapisha na kuwa Rais wa watu, akisema yeye ndio chaguo la watu kuwaongoza na sio Uhuru Kenyatta.

Chanzo: EATV

View attachment 692497
Raila is looking for death, and surely he will get it soon.
 
Dah hata wewe ni mtu wa kueneza propanganda? Hadi sasa hivi sijaamini na unajua vizuri hiyo picha ya Uhuru ni ya jamhuri day na si ya kuapishwa kwake!
Hivi mbona huipati kwamba ni nyie wenyewe ndiyo mlioileta humu?
Hii ni kazi ya mikono yenu, ungesema tu hiyo picha si kweli ni ya Jamhuri Day!
Trust me it’s that simple my dear!
Kuliko kuja na mineno ya ajabu ajabu!
Never speculate!
 
Dah hata wewe ni mtu wa kueneza propanganda? Hadi sasa hivi sijaamini, na unajua vizuri hiyo picha ya Uhuru ni ya jamhuri day na si ya kuapishwa kwake! Dhuks, kennedy0000, MK254 fanyeni haki tumalize hii propaganda kwa mara ya mwisho. Msaidieni huyu na picha ya kuapishwa kwa rais Uhuru Kenyatta. Acha ntaitafuta pia nikimaliza shughuli zangu.
171128102550-03-kenyatta-inauguration-1128-super-tease.jpg

9204090-3x2-940x627.jpg

upload_2018-2-8_17-28-51.jpeg

merlin_133097594_7fb79680-dfcf-4364-8383-43d3ca1a4a5f-master768.jpg
 
Hehehehe!! Mzee Odinga..baaabaa mbona unatuyumbisha hivi, juzi umekula kiapo na kuwa rais wa nchi na kusema umetufikisha Kanani, sasa mbona hujiamini unatetereka na kujitwika majukumu ya tume ya uchaguzi ya kutangaza lini tufanye uchaguzi. Wanaokufuata kwa kweli wana shughuli sio haba.

Tatizo serikali nayo inamfuata huyu mzee, imepanic na kuanza kamata kamata zisizoeleweka, yaani hii nchi inazidi kuwa tamu, full vituko.
Serikali haijapanic sasa ina exercise power na kitkachofuata Odinga ana pigwa pin nyumbani
 
Back
Top Bottom