Odinga kujiapisha ni sawa kisheria?

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,493
Mihanyenyi JF

Naomba kujuzwa wakuu swala hili la mtu kujiapisha Nchi yenye Rais ni sawa kama sio sawa kwanini hajachukuliwa hatua?

Upande wa serikali kuyuzuia hilo swala nao hawajavunja sheria za Nchi hiyo.

 
Hili ni jukwaa la serious business! Kwani raisi anaapishwa kwa mujibu na taratibu za katiba na sheria au mujibu wake mwenyewe?
 
Odinga mjanja sana..

Mahakama ikimkamata inabidi ijibu maswali mengi, kuapa ni kufanya nini?

Ili uwe Rais inabidi uwe umefanya aina gani ya kiapo?

Je odinga amefanya kiapo ambacho Rais wa Jamhuri wa kenya anatakiwa awe amefanya ili kuwa Rais?

Kama hajafanya atakuwa ametenda kosa?
 
Hili ni jukwaa la serious business! Kwani raisi anaapishwa kwa mujibu na taratibu za katiba na sheria au mujibu wake mwenyewe?
Kikubwa mkuu nilikuwa nahitaji kuelimishwa kwa Mujibu wa sheria na kama anavunja sheria basi Kosa lake ni lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…