The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Watanzania hawahusiki na uchaguzi wa Kenya bali NASA walikosa ushawishi kwa wakenya waishio TanzaniaKura za RAO kutoka tanzania zilizopigwa na Wakenya waiishio tanzania ni mbili tu, Hiyo inaleta tafsiri kuwa NASA walikosa ushawishi nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma posti #13 utaliona jibu langu...
Kwa hiyo ukiwa mkenya lakini unaishi Tanzania lazima umpigie Odinga?Kura za RAO kutoka tanzania zilizopigwa na Wakenya waiishio tanzania ni mbili tu, Hiyo inaleta tafsiri kuwa NASA walikosa ushawishi nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo tatizo langu...Siwezi kurudi Nyuma
Aya siku Ingine nitajitahidi kuwa na lugha nzuri niombee kwa mwenyezi Mungu inshallahUngeweza kufikisha ujumbe wako bila lugha mbaya kama uliyoitumia...
Hata mi sio Tatizo langu, ukweli ni kuwa Wakikuyu ni wengi Tanzania na ndio waliompigia kura Mkikuyu mwenzaoSiyo tatizo langu...
Ushawishi wa NASA hapa tanzania kivipi?? Kwani waliopiga kura ni watanzania?? Dude, mbona uko dense kiasi hicho??Kura za RAO kutoka tanzania zilizopigwa na Wakenya waiishio tanzania ni mbili tu, Hiyo inaleta tafsiri kuwa NASA walikosa ushawishi nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wajinga mnatiririka tu!Raila hana mvuto
Na nyie nani alisababisha mshindwe kwenye uchaguzi mkubwa 2015? Tangu chaguzi ndogo zifanyike baada ya 2015 mmeshashinda viti vingapi vya udiwani na wenyeviti wa vijiji/mitaa?
Ni 2 kati ya Jumla ya kura ngapi?Kura za RAO kutoka tanzania zilizopigwa na Wakenya waiishio tanzania ni mbili tu, Hiyo inaleta tafsiri kuwa NASA walikosa ushawishi nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakaa wewe ni foreign agent wa Odinga umelipwa kueneza propaganda na uvumi aina ya "gutter press".Tafsiri ni kuwa Wakenya waliopo Tanzania wengi ni Wakikuyu
kutoka Tanzania Rao alipata karibia kura 1,300 sio hizo 2..Kura za RAO kutoka tanzania zilizopigwa na Wakenya waiishio tanzania ni mbili tu, Hiyo inaleta tafsiri kuwa NASA walikosa ushawishi nchini Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app