Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,288
utakufa utamuacha.mwenzio ana uwezo wa kukaa ICU miaka hata mitano kama fidel castro,pesa ipo.wewe kabwela kama mimi presha ikipanda tu kidogo hata taxi ya kukukimbiza muhimbili shida.
Teh! Teh! Teh! ulichosema swadakta mkuu, isipokuwa kwa siku hii ya leo (9/4/2013 siku ya kuapishwa UhuRuto) naamini mimi nina furaha zaidi yake pamoja na minoti lukuki aliyonayo!