PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Aliyekuwa diwanni wa kata ya Mwembetogwa Odo Chaula akiwashukuru wananchi wake kwa kumpa ushirikiano kwa muda wote ambao amewatumikia.
Kada huyo wa chama cha Mapinduzi leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea udiwani kata ya Mwembetogwa mjini Makambako.
Kada huyo wa chama cha Mapinduzi leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea udiwani kata ya Mwembetogwa mjini Makambako.