Wiston Mogha
Senior Member
- Feb 13, 2014
- 168
- 141
Huyu Mratibu wa NIDA Mkoa kwa jina maarufu Odoyo
amekuwa akisumbua wakazi wa Kigoma kwa kuwafukuza ofisini kama wanyama, kuwanyanyasa na hata kuwatukana. Nilipopata taarifa hizo nikasema wacha nami leo niende kuchukua kitambulisho changu kisha nione namna ya kuzungumza nae kama raia mwema juu ya malalamiko haya toka kwa wanachi.
Kabla hata sijapatiwa huduma wala kujieleza nami yakanikuta yaleyale yanayolalamikiwa na wengi.
Niombe Wizara ya mambo ya ndani, Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa manispaa yetu ya Kigoma ujiji muone ushahidi wa aina ya watu tunaowaamini kuwapa ofisi za umma namna wanavyofanya unyanyasaji na udhalilishaji usio na tija kwa wananchi.
Wiston Mogha
0756263596
Raia Mwema