Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Video nashindwa kuipandisha hapaNakubaliana na wewe, kwangu mimi ni huko kuwafukuza watu au kushikana maungoni ndo tatizo langu lilipo. Haya ya kutokupokea rushwa nimpe hongera kwa hilo..!!
Kwenye video wote walikuwa wameshikana wanaamuliwa na mlinzi
Lakini ukiangalia uandishi wa mleta mada inaokana alienda pale tayari akiwa na lake jambo(shari) nimesikia sauti ya mleta mada kwenye video akifoka time wanaamuliwa (anafoka huku anamfata mtumishi wa NIDA)