loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Movie kali Odyssey ambayo producer Christopher Nolan ndiyo movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu largely and anticipated.
Stering wa movie hiyo Matt Damon anaigiza kama Odyssey kama false wa ugiriki kutoka ithaka kwenye simulizi za zamani za kigiriki.
Baada ya vita vya Trojan Odysseus anarudi nyumbani kwenye safari ya kutisha nakukutana na viumbe vya ajabu njiani.
Jambo la kusikitisha mabaguzi yameshaanza kupinga kwa nini Lupita Nyongo mwanadada raia wa Kenya kuigiza kama Hellen of Troy.
Wanasema itaondoa mantiki ya hiyo movie kwasababu ni mweusi.
Movie ya Odyssey imegharimu 250 USD kutengeneza na itaanza rasmi kuoneshwa kwenye Cinema tarehe 17/07/2026.
Senior JF Movie producer
adriz de mbusii