Mkuu apocalyptic 2 ipo njiani?The Odyssey Kali ni Ile ya 2000 sijui director ameongeza Nini zaidi kwenye hii!!!!! Ngoja tusubiri...
Hata hivo The Odyssey ni blockbuster usiipambe sana..
Sisi tunasubiri Majorbusters
APOCALYPTO 11 & DUNE 111 [B/] December
Ukiacha mitazamo yako benafsi...huyo fala director kaiharibu odssey kwa kuigeuza kuwa woke na liberal.
Wahusika hawaendani na stori yenyewe ya kigiriki. Mwanamke aliwkata matiti na kuanza kujiita kidume eti ndio akiriz, lupita nyongo mwenyw sura kama ngumi yangu eti ndio hellen, 🚮
Na AXIOM APEX VERBOSE zamani verbose
December hii...Mkuu apocalyptic 2 ipo njiani?
Hmm huyu atakuja hapa na matusi tu!Na AXIOM APEX VERBOSE zamani verbose
Gladiator ni tamu bwana!Ukiacha mitazamo yako benafsi...
Kevin Nolan ameiharibu Sana Oddyser kuanzia plot,scene editing , masterpiece yan ameifanya kihuni Sana ... Trailer lake tu ni Kama unaangalia GLADIATOR 111
Ya kwanza au ya pili?Gladiator ni tamu bwana!
Nazo nimeangalia muda kasoro ya 3, maybe ya 2Ya kwanza au ya pili?
Zote Kali mkuu peaceNazo nimeangalia muda kasoro ya 3, maybe ya 2
Zote Kali mkuu peaceNazo nimeangalia muda kasoro ya 3, maybe ya 2
Napenda sana movie za ma vikings lazima nitadata tu!Zote Kali mkuu peace
Nauhakika hata hii utaipenda tu
Mbali na kipigo ndiye star was movie hii ndio GLADIATOR yakwanza 2000... Jina lake aliitwa Maximus Decimus MeridiusGladiator ya Rusell Crowe ilikuwa bonge la movie. Kuna mwafrika flani maarufu nimesahau jina alikuwa akitembeza mkono balaa.
Hapo alitaka kusema dola milioni 250?
The Odyssey Kali ni Ile ya 2000 sijui director ameongeza Nini zaidi kwenye hii!!!!! Ngoja tusubiri...
Hata hivo The Odyssey ni blockbuster usiipambe sana..
Sisi tunasubiri Majorbusters
APOCALYPTO 11 & DUNE 111 [B/] December