Odyssey movie inayosubiriwa kwa hamu mwaka huu

Kwenye comment section watu wanatapika tu hasira zao huko YouTube
 
Hapo alitaka kusema dola milioni 250?
Mpaka sasa sielewi mkuu, nlifikiri inatosha tungejiunga kikundi chetu chote tukatoa single movie na sisi 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…