kwa hiyo ni vyema kufanya kama unavyotuaminisha kwa sababu ya m'thailand?
is there a gurantee(possibility yes) kutokea yaliyomkuta m'thailand and alike?
mie lile huwa sioni kitu
eti naona sredi moja tu
ni kweli kuna sredi moja tu?
Wengine huwa wanachunguza mwanamke utadhani wawo ndo wamemumba huyo mwanamke.
kasema nani majuto anaitwa mjomba? siku zote ataitwa mjukuu 2.Anakumbuka shuka kushakucha!!