oeni mapemaaaa....lol

oeni mapemaaaa....lol

kwa hiyo ni vyema kufanya kama unavyotuaminisha kwa sababu ya m'thailand?

is there a gurantee(possibility yes) kutokea yaliyomkuta m'thailand and alike?

inaweza ikutokee ama isikutokee kama huyo kaka,possiblity ni fifty-fifty,to be on safe side oa...lol
 
ah mwanamke nae kimeo...wwe mwanaume mika kumi bado hajakuoa unakaa...sii kaukuona kilaza ndio maana anakutumia kama chombo cha starehe....bwana ndani ya miaka miwili mtu anajua goma anafaa au hafai...baada ya hapo ni longolongo tuu. fumbukeni macho wakina dada
 
tatizo sio kuoa mapema,tatizo pa kuwaweka neema!wanawake wenyewe wakisikia tu wanapendwa wanaacha kusoma wanamtegemea mume!!!
 
Wengine huwa wanachunguza mwanamke utadhani wawo ndo wamemumba huyo mwanamke.
 
Wengine huwa wanachunguza mwanamke utadhani wawo ndo wamemumba huyo mwanamke.

Mbaya zaidi utakuta mtu huyo ni mngonokaji balaa, eti anataka wake asiwe na tabia ya kungonoka.
 
Back
Top Bottom