Oeni Wanawake wacha Mungu. Msifanye kosa kabisa

Oeni Wanawake wacha Mungu. Msifanye kosa kabisa

Hakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja

Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?

OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU
Nadhani hicho ni kigezo cha tatu
Cha kwanza ni upendo wa dhati
Cha pili ni ukweli na uaminifu
 
Back
Top Bottom