Na mwanaume asiyemcha Mungu atakifanya nini kizazi chake?Kwa kweli mwanamke asiye mcha Mungu anaweza kukiharibu kizazi chako..
Nadhani hicho ni kigezo cha tatuHakikisha sana unaoa Mwanamke mcha Mungu. Mwanamke ambaye ataibarikisha familia yako. Atakuombea na kusali pamoja
Atawafanya watoto wako wakue wenye Hekima na Maadili..yaan mtoto anakua anajua wizi ni dhambi, Uvivu ni dhambi, kuongopa ni dhambi, uzinzi ni dhambi, kuvaa nusu uchi dhambiiii. Kwani wakuu mifano simnayo?
OYA, OENI WANAWAKE WACHA MUNGU
Hahaha, umeamua kunizingua sana leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha, umeamua kunizingua sana leo.
Hakuna majibu mule! Ila nimeshajua, uko sealed.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila maswali yako nimeacha majibu kule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha assumption [emoji23]Hakuna majibu mule! Ila nimeshajua, uko sealed.
Baby nyeupe ni nyeupeee, nakubali sana wanawake wa aina hivo.Leo umeongea point baby
Ungekuwa karibu ningekupa yote[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili ukimtingoza akwambie "shindwa pepo wakala wa shetani wewe " [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilishawahi kumtokea demu mlokole swala tano alikua kiongozi wa kwaya kanisani kwao. Siku nimemtoa out akaagiza konyagi ndogo.
Hao wamejfcha kwny ucha Mungu ila sio uhalisia waoMkuu mbona hao wacha Mungu wengi ndoa zimewashinda?!!tena wengine ni maarufu sana kwenye jamii yetu,
[emoji23][emoji23][emoji23]Saint Anne Twende pm tukaongee Uzi umenimotivate[emoji23][emoji23][emoji23]
Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwao...
Endelea kuguess.[emoji23][emoji23]Imani ni kuwa na hakika na mambo yatarajiwao...
Me naamini[emoji23][emoji23]
Hii ni imani bado kukuota tu niverfy
Oh[emoji2960]hongera Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni imani bado kukuota tu niverfy