Of Kenya, the EAC-EPA deal and the hijack of EAC integration by western interests!


Ciao to your troubling airline tell them we are coming
 
Huwa mnanishangaza sana wakenya kutuchukulia kuwa tupo mbali sana na nyie wakati kwenye statistics ni kama pua na mdomo. Yani mpo karibu mno na sisi.
Hebu check hapa PPP
List of countries by GDP (PPP) - Wikipedia
naongea kuhusu GDP per capita(nominal) amabyo ndo hutumika kama kigezo cha kueka nchi kwa middle income ama LCD, Si miaka mingi pia nyinyi mtaingia huko alafu ndo mtatuambia kama EPA mtaingia au la
 
I dont think it's because they can't but rather they dont want to. Deep down they know the EAC is a luxury the way it is currently!
 
Mnaigeria is just holding off ili a leverage EU imsaidie kuwekeza kwa pipeline mpya za oil ambazo kampuni nyingi zilizowekeza ni za EU na zinatishia kugoma sababu ya wanamgambo wanao iba mafuta


Nchi nyingi za north Africa zimeingia ama zinajadiliana kuingia kwa FTA na muamerica, mEU hajaingia kwa FTA na muamerika ....Moroco na algeria zilishaingia, Egypt bado ananegotiate na US ..


Despite angola na Sudan kuwa na uchumi mkubwa kutokana na export ya Oil.... bado angola na Sudan ziko kwa list ya LCD kata Tz kwahivyo hao wanaeza kukataa EPA bila conciquences..mbali na hivyo nchi kama suda haisikizani vizuri na EU kwasababu ya zile sanctions

GDP ya ethiopia bado haijapita ya Kenya, mwaka huu ndo inasemekana inaaeza pita ya kenya, lakini despite hivyo, ethiopia iko na population kubwa kwahivyo GDP/capita bado iko chini hata kushinda ya TZ...Pia ethiopia iko kwa list ya LCD..



Hizo nchi zengine ambazo ziko SADC na hazijaingia kwa EPA karibu zote ni LCD kam Congo DR,Mozambique,Zambia,Malawi,Lesotho, TZ..
,

unctad.org | UN list of Least Developed Countries
 
Wewe ndugu mbona muongo sana kiasi hicho? Unadanganya watu kwa kwa faida ya nani sasa?
Umesema uchumi wa kati unapimwa kwa GDP per capita(nominal) na ukasema nyie mnalazimika kuingia huko kwa sababu mmefikia kiwango hicho.
Nimekutajia baadhi ya nchi zipo juu sana kwenu halafu unaleta bra bra nyingi unahamisha mada.
Unaleta tena list ya Least Developed countries. Which is which sasa?

Nchi hizi hapa zote zipo juu yenu
Mauritus 9,142
Gabon 7,692
Botswana 6,771
Libya 6,276
SA 5,727
Algeria 4,175
Agola 3,976
Egypt 3,710
Swaziland 3,597
Cape verde 3,073
Morocco 3,002
Nigeria 2,743
Sudan 2,175
DRC 2,005
Djbouti 1,788

List of countries by GDP (nominal) per capita - Wikipedia
zilizo sign ni hizi
Botswana, Lesotho, Mozambique, Namibia, South Africa and Swaziland.

EU, six African countries sign EPA

Hebu acha bana kutudanganya wewe. Nadhani nyie Kenya mpo na agenda behind this. Huwezi kutufanya sisi wajinga wakati kila kitu ni wazi.

Acha uongo ndugu yangu EPA ni ukoloni mambo leo. Wanataka kututawala na kuua juhudi za maendeleo ya Africa.
Sisi TZ hatuwezi ku sign mkataba huo. Sababu kubwa ni tunaweza kufanya biashara na Uingereza na lazima watuambie kwanini Uingereza imejitoa EU?

Hatuwezi kwenda kimya kimya. Pia watuambie kwanini wao wanakataa kusign mkataba na marekani wa namna hii?

Nataka utoe maelezo yanayojitosheleza sipendi bra bra ndugu.

Umesoma lakini issue ya Nigeria? huwezi kulazimisha tuweze kusign. Sisi tunaweza kushirikiana na asia sio wao mikataba ya wizi.
 
Why are we still on this. We are sooo okay, we signed this deal, and we are on to the next one...Amina get the Au job.
I think our friends are stil healing from the Eu-Kenya surprise. You were so focused on interrupting our grind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…