Ofa anayetaka shillingi 10000 anione PM

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Za asubuhi ndugu zangu Mimi nawapenda Sana Wana jf yaani nawachukulia Kama ndugu zangu kabisa marafiki wa karibu.mimi mwenzenu Jana shimo limetema nimeshinda bet Kuna hela nimepata nyingi tu Kama million 17 hivi.sasa nimeona milioni tatu nisaidie jamii yenye uhitaji nikafikiria nikaona pia nitenge million moja kwa ajili ya wana jf hivyo yoyote mwenye shida kidogo anione PM nimrushie kidogo sio mbaya japo tugawane tulichobarikiwa.njoo PM kwa kuandika namba yako ya simu iwe NI tigo pesa au m pesa.kutoa ni moyo SI utajiri
________________
________________
UPDATES
Naona PM yangu inazidi kufurika nilisahau kuwaambia Mimi nilipanga nitoe kwa watu Mia moja tu ila mpaka kufikia Sasa nimepokea meseji zaidi ya 340..kwa hivyo inanibidi nibadili gia angani kwamba kipaumbele sasa itakuwa ni wadada tu.wanaume nyie kausheni tu endeleeni kuniombea nipate ile bilioni moja nitawagaia hata members wote.
Asanteni
 
Kama una ID zaidi ya mbili tafadhal tumia moja tu usinicheki na zote ili na wengine wapate mgao kuwa mwaminifu
Usisahau na kuleta mrejesho hapa km utakuwa umeiona 10000 imeingia
 
QUOTE="ndege JOHN, post: 28794863, member: 384465"]Za asubuhi ndugu zangu Mimi nawapenda Sana Wana jf yaani nawachukulia Kama ndugu zangu kabisa marafiki wa karibu.mimi mwenzenu Jana shimo limetema nimeshinda bet Kuna hela nimepata nyingi tu Kama million 17 hivi.sasa nimeona milioni tatu nisaidie jamii yenye uhitaji nikafikiria nikaona pia nitenge million moja kwa ajili ya wana jf hivyo yoyote mwenye shida kidogo anione PM nimrushie kidogo sio mbaya japo tugawane tulichobarikiwa.njoo PM kwa kuandika namba yako ya simu iwe NI tigo pesa au m pesa.kutoa ni moyo SI utajiri[/QUOTE]
Mbele ya hela ndege John ujie hela huwa haina mwisho na watu hata kama ana mamilion atataka hata mia...
 
wakija nambie ili namimi nikichukua hii billion moja kutoka MO family niwaalike
 
Masaa 2,PM 340 haha
 
Kutoa ni imani ya mtu, Moyo ni kitu kingine kabisa
 
Watakaopata watupe mrejesho wa muamala [emoji1316][emoji1316][emoji1316]HONGERA KAMA HII SIO CHAI
 
Ahaha
.sidhan kama kuna kichaa kakufuata

Aliyekufuata ni mgonjwa bila shaka
 
Mkuu hongera kwa kuwa mbunifu na style yako ya utongozaji mm nakupa hongera tu na watu wako waliojaa pm
 
Mkuu hongera kwa kuwa mbunifu na style yako ya utongozaji mm nakupa hongera tu na watu wako waliojaa pm
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dada waeza kuta saa nyingine hakuna hata aliyetia maguu huko Pm.

Sababu siku hizi wanawake wanaodanganyika kirahisi naona kama wameshaisha kwa kweli.

Apambane na pesa zake.
 
Hahahhaha inawezekana dada akee eti elf 10 nawaza tu ndio unaenda pm sijui unasemaje au unaanza salaam mkuu habari nimekuja naomba hiyo elf 10 hapana jamani acha nikufwe na shida zangu sio kulialia jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada waeza kuta saa nyingine hakuna hata aliyetia maguu huko Pm.

Sababu siku hizi wanawake wanaodanganyika kirahisi naona kama wameshaisha kwa kweli.

Apambane na pesa zake.
 
Hahahhaha inawezekana dada akee eti elf 10 nawaza tu ndio unaenda pm sijui unasemaje au unaanza salaam mkuu habari nimekuja naomba hiyo elf 10 hapana jamani acha nikufwe na shida zangu sio kulialia jf
Hahahaaaaa. Nimecheka kwa sauti ujue Dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…