ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Za asubuhi ndugu zangu Mimi nawapenda Sana Wana jf yaani nawachukulia Kama ndugu zangu kabisa marafiki wa karibu.mimi mwenzenu Jana shimo limetema nimeshinda bet Kuna hela nimepata nyingi tu Kama million 17 hivi.sasa nimeona milioni tatu nisaidie jamii yenye uhitaji nikafikiria nikaona pia nitenge million moja kwa ajili ya wana jf hivyo yoyote mwenye shida kidogo anione PM nimrushie kidogo sio mbaya japo tugawane tulichobarikiwa.njoo PM kwa kuandika namba yako ya simu iwe NI tigo pesa au m pesa.kutoa ni moyo SI utajiri
________________
________________
UPDATES
Naona PM yangu inazidi kufurika nilisahau kuwaambia Mimi nilipanga nitoe kwa watu Mia moja tu ila mpaka kufikia Sasa nimepokea meseji zaidi ya 340..kwa hivyo inanibidi nibadili gia angani kwamba kipaumbele sasa itakuwa ni wadada tu.wanaume nyie kausheni tu endeleeni kuniombea nipate ile bilioni moja nitawagaia hata members wote.
Asanteni