Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #61
kampani napenda ila kitu kimoja tu kina nishinda kumeet na stranger ndio taabu sana kwangu..
kila la kheli shostito..
shosti wapi?
Jidume hilo...
teh teh teh teh
Thanks for useful post
unaenda na washikahi wawili,ukiona ni jike unawambia washikaji waondoke ili ubaki naye
unaenda na washikahi wawili,ukiona ni jike unawambia washikaji waondoke ili ubaki naye
nafasi ni chache jaribu bahati yako unaweza ukaibuka mshindi
Wivu tu unakusumbua,lol
ngoja nijaribu maana nilikuwa kwetu kibugumo mitandao ya tabu,,mwaka unaweza kuanza vzri
halafu na wewe nakuhitaji sana kwenye mchakato huu.Acha uoga mbona mimi fresh tu?
Kwavile subra yavuta heri acha nisubirie, jana ilikuwa napokea simu au waliokuwa wanabeep wote nilikuwa nawapigia nikijua tayari nimebahatika! mbona tarehe 31 mbali wakati nataka nijipange?bado mchakato unaendelea,kuwa na subra
dah?
Mchakato ushaingiliwa na hisia binafsi, hakuna usawa tena hapo...
Kwavile subra yavuta heri acha nisubirie, jana ilikuwa napokea simu au waliokuwa wanabeep wote nilikuwa nawapigia nikijua tayari nimebahatika! mbona tarehe 31 mbali wakati nataka nijipange?
Invitation to Treat....
kuanzia jana mtu akibip napiga ili nisije nikakosa ofa. ila hata ujumbe sijaona ntafanikiwa kweli?hehe kumbe huwa ukibiwa haupigi?lol,we jiandae tu basi nitasogeza nyuma iwe tarehe 30 mwisho.
kuanzia jana mtu akibip napiga ili nisije nikakosa ofa. ila hata ujumbe sijaona ntafanikiwa kweli?
Acha Ujinga ww
Hujasema Ofa ani ya nini/ bidhaa gani
Sema Ofa ni ya nini
duh!!
Kweli akili nyingine hazichanganyiki!!
Utanilipa sh ngapi?