Ofa kwa wamiliki wa "day care centres' na "pre-/primary schools'

Ofa kwa wamiliki wa "day care centres' na "pre-/primary schools'

The Consult

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
220
Reaction score
252
blackgirl.jpg
Je wewe ni mkazi wa Dar es Salaam, Morogoro au Dodoma, na unamiliki "Day Care Centre" au "Pre-/Primary School' na ungependa kuiendesha kisasa ili kuendana na ushindani katika soko la elimu? na je unafahamu umuhimu wa Mpango Mkakati (Strategic Plan) katika uendeshaji wa Taasisi yako?, lakini pia unafahamu shule maarufu na zilizofanikiwa duniani zinaendeshwa kwa kufuata Mpango Mkakati?


MPANGO MKAKATI katika Taasisi ya elimu
Mpango Mkakati au Strategic Plan ni nyenzo muhimu sana katika uendeshaji wa shule; Mpango Mkakati hutoa DIRA kwa shule husika na huainisha malengo (Strategic Objectives) na mbinu (Strategies) za kufikia malengo hayo. Malengo ya Mpango Mkakati; yaweza kugusa katika maeneo yafuatayo:
  • Uongozi (Leadership & Management)
  • Ufundishaji (Teaching & Learning)
  • Kuwajengea wanafunzi uwezo (Pupils’ personal development, behaviour & welfare )
Faida za kuwa na Mpango Mkakati
  • Mpango Mkakati hujenga ushirikiano wa kiutendaji baina ya watendaji wa shule.
  • Mpango Mkakati huwezesha upimaji wa mafanikio ya shule
  • Mpango Mkakati hujenga "Brand" imara ya shule yako
  • Mpango Mkakati hukupa DIRA (Vision) ya kule uelekeapo
Ili kuhakikisha unafaidika na matumizi ya Mpango Mkakati katika shule yako; nitakupatia huduma zifuatazo kwa gharama nafuu KABISA.
  • Utoaji wa semina ya siku 2 juu ya uibuaji wa Mpango Mkakati (Strategic Planning) na Mbinu za upatikanaji wa ruzuku kwa miradi ya shule (Fund Raising Strategies for Schools' Projects)
  • Kukutengenezea Mpango Mkakati wa Miaka 3 kwa ajili ya shule yako
  • GHARAMA NI TSH 130,000 KWA DAR ES SALAAM, NA TSH 150,000 KWA MOROGORO NA DODOMA.
NYOTE MNAKARIBISHWA
The Consult : +255 719 518 367Dar es SalaamTanzania
 

Attachments

  • New Flyer.jpg
    New Flyer.jpg
    270.1 KB · Views: 49
Ni check PM tuongee biashara nimeshindwa ku ku mp
 
Back
Top Bottom