Ofa maalum kwa wanaotaka kustaafu kwa hiari yao bila kulazimishwa na umri, nimeipenda sana hii. Magu hoyeee!

Ofa maalum kwa wanaotaka kustaafu kwa hiari yao bila kulazimishwa na umri, nimeipenda sana hii. Magu hoyeee!

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
5,261
Reaction score
3,679
Hapa niseme kitu kimoja hivi humu JF kustaafu mwisho miaka mingapi?

Na kama umeshanza kutizama key board kwa mashaka staafu tu kwa hiari yako, bahati nzuri humu JF mnaruhusiwa kurithisha account zenu kwa wana bila hiana, ili uendelee kuwa hai, kama una miaka zaidi ya 30 wewe jiandae tu kuachia jukwaa!

Wazee wenzao wote kina sky eclat, Bujibuji, bibi wa mitandio, Kiranga, zito jr, watu wachawi sana majina yananiponyoka lkn najua wanapo ishi subiri! Enhee! Mzee wa Msata? nani vile! Msukuma mwandishi, nani vile! mayala, katoto kazuri, jogi, mwembekiuno, ulweso, mkuyenge, sallary slip,zero brain mjiandae kurithisha account zenu mimi mtaniwia radhi, wengine ongeza!
 
Hapana, jamii forums? Above thirty watoke? Labda under thirty cuz wengi huwa wanaandika vitu vinastaajabisha, ambavyo vinafaa 'fesibuku'😂😂, pia wanapenda mapicha picha yao. Hao uliowataja wana hazina kubwa sana maarifa na taarifa za kutupatia.
 
Hapana,jamii forums?!Above thirty watoke?Labda under thirty cuz wengi huwa wanaandika vitu vinastaajabisha,ambavyo vinafaa 'fesibuku'😂😂,pia wanapenda mapicha picha yao.Hao uliowataja wana hazina kubwa sana maarifa na taarifa za kutupatia
Basi sawa! na wale wenye hasira sana?
 
Mkuu unataka tufe mapema. Tukija huku tunaongeza siku za kuishi.
 
  • Nzuri
Reactions: Sax
Raha ninayoipata jamii forum sijawahi kuipata kwenye mitandao mingine yote na sidhani kama kuna nyumbani kwingine zaidi ya humu
 
Under 16 hadi 24 wengi wanandika mapenzi ata hawajui uchawi 25 to 30 ndo wenye madini mazuri umu, bora useme above 50+ wapumzike[emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Sijutii kuwa jf, but najilaumu kwa kuchelewa kuwepo huku.
 
Back
Top Bottom