M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Juzi nikiwa mlimani city nikashangaa nyomi ya watu wakikimbilia Shoprite supermarket kuuliza kulikon nikaambiwa kuna ofa (nusu bei, 50% OFF) nami nikachoma ndani kuwahi ofa ile kuingia tu mbinde kufika ndani ikawa purukushani kwa kweli yaani ni vurugu tupu mi nikawahi mikuku almost friji Zima, konyagi, mi-whisky, mafuta ya kupikia (50 lts) sukari 250 kgs, sabuni za kuogea box 10, OMO kubwa 20. sasa jana nimedamka alajiri saa 11 kuwahi tena ofa nakutana na tangazo ofa imesitishwa. Daah but si mbaya nimepata pa kuanzia. Shikamoo SHOPRITE!!
Hata kama vime-expire NO PROBLEM nina muhuri wangu, nafuta expire date ya zamani na kupiga mpya. Tena ya tarehe za 2015
blessings mlaaniwaHata kama vime-expire NO PROBLEM nina muhuri wangu, nafuta expire date ya zamani na kupiga mpya. Tena ya tarehe za 2015
Hata kama vime-expire NO PROBLEM nina muhuri wangu, nafuta expire date ya zamani na kupiga mpya. Tena ya tarehe za 2015
Hata kama vime-expire NO PROBLEM nina muhuri wangu, nafuta expire date ya zamani na kupiga mpya. Tena ya tarehe za 2015
Kwahiyo Makumati ndio wameingia mliman city? Je expiring date umeangalia?
Juzi nikiwa mlimani city nikashangaa nyomi ya watu wakikimbilia Shoprite supermarket kuuliza kulikon nikaambiwa kuna ofa (nusu bei, 50% OFF) nami nikachoma ndani kuwahi ofa ile kuingia tu mbinde kufika ndani ikawa purukushani kwa kweli yaani ni vurugu tupu mi nikawahi mikuku almost friji Zima, konyagi, mi-whisky, mafuta ya kupikia (50 lts) sukari 250 kgs, sabuni za kuogea box 10, OMO kubwa 20. sasa jana nimedamka alajiri saa 11 kuwahi tena ofa nakutana na tangazo ofa imesitishwa. Daah but si mbaya nimepata pa kuanzia. Shikamoo SHOPRITE!!
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.