Ofa (nusu bei) ya Shoprite imenipa mtaji wa kufungua duka reja reja

Juzi nikiwa mlimani city nikashangaa nyomi ya watu wakikimbilia Shoprite supermarket kuuliza kulikon nikaambiwa kuna ofa (nusu bei, 50% OFF) nami nikachoma ndani kuwahi ofa ile kuingia tu mbinde kufika ndani ikawa purukushani kwa kweli yaani ni vurugu tupu mi nikawahi mikuku almost friji Zima, konyagi, mi-whisky, mafuta ya kupikia (50 lts) sukari 250 kgs, sabuni za kuogea box 10, OMO kubwa 20. sasa jana nimedamka alajiri saa 11 kuwahi tena ofa nakutana na tangazo ofa imesitishwa. Daah but si mbaya nimepata pa kuanzia. Shikamoo SHOPRITE!!

Penda sanaa ofa weye ?? Angalia usije lalwa, mjini hapa.....LoL Congrats though !!!
 
vitu vidogo hivyo hamwachi vipite, kikubwa si kueleweka!!...ona sasa na wewe kumbe haujui, ni Nakumatt, siyo Nakumat!
hata mimi niliweka t mbili naona moja imeanguka, kwa hiyo unataka tuache vitu vidogo vipite sio? sawa tumekuelewa.
 
Juzi nikiwa mlimani city nikashangaa nyomi ya watu wakikimbilia Shoprite supermarket kuuliza kulikon nikaambiwa kuna ofa (nusu bei, 50% OFF) nami nikachoma ndani kuwahi ofa ile kuingia tu mbinde kufika ndani ikawa purukushani kwa kweli yaani ni vurugu tupu mi nikawahi mikuku almost friji Zima, konyagi, mi-whisky, mafuta ya kupikia (50 lts) sukari 250 kgs, sabuni za kuogea box 10, OMO kubwa 20. sasa jana nimedamka alajiri saa 11 kuwahi tena ofa nakutana na tangazo ofa imesitishwa. Daah but si mbaya nimepata pa kuanzia. Shikamoo SHOPRITE!!
Hongera mjomba
 
Mmefufua makaburi uzi wa mwaka 2014 umefufuka tena sijui member yupo wapi??
 
Back
Top Bottom