Ofa!! Ofa!! Nauza iPhone 12, charger yake na earbuds vyote kwa pamoja laki 4 tu (400,000). Mali ipo Dodoma

Ofa!! Ofa!! Nauza iPhone 12, charger yake na earbuds vyote kwa pamoja laki 4 tu (400,000). Mali ipo Dodoma

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,210
Reaction score
2,840
Nauza iPhone 12 Plain 128GB. Simu haina mchubuko wala mkwaruzo.

Network: 5G

Waterproof: Ina kiwango cha IP68 (dust na water resistance). Hailingizi maji, unaweza hata kupiga video call ukiwa ndani ya maji.

Display: Super Retina XDR OLED, HDR10 na Dolby Vision. Kioo kina ubora wa hali ya juu na hudhibiti mwanga vizuri.

Size: Inchi 6.1. Ni portable na unaweza kuishika kwa mkono mmoja kwa urahisi.

Screen Resolution: 1170 × 2532 (460ppi), kwa picha na video zenye ubora wa hali ya juu.

iOS 26.3 ipo updated, unaenjoy matumizi kama ya iPhone mpya.

Processor: Apple A14 Bionic (5nm), yenye kasi kubwa kwa matumizi ya kila siku na gaming.

Camera: Ina uwezo wa kurekodi video za 4K kwa 60fps kwa kamera ya mbele na ya nyuma. Pia ina chaguo mbalimbali za kuhariri video.

Ina stereo speakers, hivyo sauti inatoka pande zote kwa ubora mzuri wakati wa kusikiliza muziki au kutazama filamu.

Ina Face ID, hivyo unaweza kufungua na kufunga simu kwa kutumia uso wako.

Kamera ni kali sana, picha zinatoka zikiwa na ubora wa juu.

N.B. Utapata iPhone pamoja na charger yake, cover lake na Oraimo SpaceBuds zenye sauti nzuri.

Bei: Tsh 400,000. Simu ipo Dodoma. Bei haipungui.

Namba: 0768 073 471.

Mungu akupe nini wewe mwanaJamiiForums?


IMG_1864.jpeg
IMG_1868.jpeg
IMG_1858.jpeg
IMG_1856.jpeg
D9D5547E-DACA-430B-ABB3-83CC1EEDAF9B.png
5BF75766-145C-4C2A-AD1B-19D41FA33AE9.png
IMG_1785.jpeg
IMG_1788.jpeg
 
Back
Top Bottom