nilishaleta tangazo humu la set ya vifaa vya chips...kutokana na muda unavozidi kwenda nimetoa ofa ya punguzo maalum kwa atakewahi kuchukua ( set nzima ).....kimsingi ukienda kuvinunua dukani inaweza gharimu hadi 3M...ila kwa kuwa nishavitumia ndo naamua kuvipunguza hadi 1.69M ila kwa sasa natoa ofa kwa atakae wahi aje na 1.3M vyote achukue...
MAHALI
Kinindoni dsm
SIMU
0683473391
vifaa ni
juice dispenser mitungi mitatu.kila mtungi lita 18..jumla lita 54 za juice inabeba inakoroga,inapoza na hadi inagandisha
majiko matatu( la feni la mishkaki na la kawaida)
meza tatu na viti vyake (meza zote zina socket pande zote)
meza ya kupanga sahani
kabati mbili (moja ya viazi na kachumbali na nyingine ya nyama na kuku,ndizi na soseji)
sink la kuoshea vyombo lina meza yake tayari
frem ya tv ya nchi 43 ya chuma
vyombo (sahani,visu,chujio za chuma na vinginevyo)
ndoo zipo nyingi na vidumu pia na madiaba
koni ya kutangazia
baiskeli ya kufanyia delivery na kufata mizigo sokon
karai na sufuria
1) Juice dispenser mitungi mitatu heavy duty
View attachment 3436706
View attachment 3436707
2) majiko matatu..la feni, la mishkaki na la kawaida
View attachment 3436708
3) meza tatu na viti..zote zina socket kuchajia simu pande zote
View attachment 3436709
View attachment 3436711
View attachment 3436712
4) meza ya kupanga sahani
View attachment 3436714
5) kabati mbili..moja ya viazi na ndizi...nyingie ya nyama na mishkaki na kuku na soseji etc
View attachment 3436718
6) sink la kuoshea
View attachment 3436721
7) frem ya tv hadi inch 43
View attachment 3436722
8) vyombo
View attachment 3436724
9) baiskeli ( hii sio picha yake..ila iko kama hiv ila pia ina vikapu na seat ya nyuma ) hii picha nimetoa kwenye mtandao tu..yangu nilikuwa sijaipiga picha
View attachment 3436725
10) karai na sufulia
View attachment 3436726View attachment 3436726
11) koni au kipaza sauti cha kutangazia
View attachment 3436728