SOFTWARE OFA: Tuna install software kwenye Laptop na Desktop

SOFTWARE OFA: Tuna install software kwenye Laptop na Desktop

OFA! OFA! OFA!

Habari wadua JF, tumefungua ofisi mpya ipo maeneo ya mabibo inashughulika na mambo ya IT kama ifutwavyo;
  1. Kutengeneza simu za aina zote
  2. Kutengeneza kumpyuta za aina zote
  3. Kuweka programu kwenye kompyuta.
KUANZIA TAREHE APRIAL 23TH MPAKA 27TH TUTAKUWA TUNAWEKA PROGRAMU KWA WATEJA WETU BUREEEEEE KABISA.

Tupo Mabibo Hostel Karibu na kituo cha daladala
Mawasiliano: 0718471330
KARIBUNI SANA!
VP program ya kufrash cm password unazo
 
Kama mimi kompyuta inanidai ni update window iyo massange kila mala inakuja na baadae ina ji OFF yenyew.....
Kuna siku nikataka ni up date ila nikajiuliza nawez Ku up date then kukaw na vitu vimeingezek ikashindwa kusappor vitu vilivyo kuwa awal yaana program za kudesign nikaamua kuacha

Je, swali nawez up date au mpaka nifanye back up then nilistol upya? Yaan mpaka imeanz kuw na uslow
 
Back
Top Bottom