Ofa X.mass punguzo la bei G.House

Ofa X.mass punguzo la bei G.House

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470

Kuelekea X.Mass Nshanga G.House wameamua kupunguza bei ili Infii muenjoy sana.

Inabidi muwahi mapema infii maana panawahi kujaa mapema sana.
 
Nataka nikione hicho chumba chenye ice..........................:a s 109:
 
Kuelekea X.Mass Nshanga G.House wameamua kupunguza bei ili Infii muenjoy sana.

Inabidi muwahi mapema infii maana panawahi kujaa mapema sana.

ICE ni nn? naona limejirudia mara mbili chumba chenye ICE ........
 
Kuelekea X.Mass Nshanga G.House wameamua kupunguza bei ili Infii muenjoy sana.

Inabidi muwahi mapema infii maana panawahi kujaa mapema sana.

Mkuu ulipotuacha jana ndio ulienda huku kufanya booking mapema tuwe tunaambiana mapema basi
 
Inanunuliwa Feri pale....inawekwa kitandani!!😛arty:
 
Chenye juice ndo kifupi chake sio AC , hahaaaaa, aha a sasa hivi mtaambiwa mna udini kwa nini iwe wakati wa X-mass tu mie simo
 
Hahahahahaha hilo Punguzo la bei toka 30000-15000 si mchezo mpwa
Hiyo unalamba lamba hommie huku ukiburudika
Ntumie number ya Eliza wa hapo nadhani kwangu itakua rahisi sana kufanya booking...:hungry:
 
Back
Top Bottom