Ofa X.mass punguzo la bei G.House

Ofa X.mass punguzo la bei G.House

Lakini hiyo offer si ilikua ya mwaka jana! Offer ya mwaka huu kuingia mwaka 2011 ipo?
 
Wajua ishafika mwisho wa mwaka, kila Bizness ndo mwanzo... ma ofa kibao, sijui kina nanihuyu.... kama watapunguza bei pia!!!!!
 
duuuhhh angalia tarehe muheshimiwa 15/12/2009 mpaka 30/04/2010...
hii offer imesha expire....... samahani waheshimiwa
 
Aaaaah mbona tangazo limepitwa na wakati yaani tar 15/12/2009 mpalka 30/04/2010 Fidel80 umedanganya
 
Kuelekea X.Mass Nshanga G.House wameamua kupunguza bei ili Infii muenjoy sana.

Inabidi muwahi mapema infii maana panawahi kujaa mapema sana.

I was going to ask what were you doing there....
But I guess I already have the answer....:confused2:
 
duuuhhh angalia tarehe muheshimiwa 15/12/2009 mpaka 30/04/2010...
hii offer imesha expire....... samahani waheshimiwa

Jana wameniambia offa hii na mwaka huu inaendelea
 
I was going to ask what were you doing there....
But I guess I already have the answer....:confused2:

Hii nilikuwa nawapa taarifa nyie ma infii maana mnaingia hasara sana kulipia rumu kwa 50000 alafu hulali unawahi ndoa nyumbani hili punguzo linawahusu sana nyie kuokoa gharama
 
Jana wameniambia offa hii na mwaka huu inaendelea

hhahahahahahhaah lol sasa si wange badilisha tu na kalamu hizo tarehe lol
lakini haina haja kabisa.... hizo bei bado ni nzuri sana....
 
Da! pande za kwetu gharama zishapanda maradufu.
Hadi February flani ndio bei itarudi ktk hali yake ya kawaida.
 
hati hati msije mkaondoka na fangasi za makalio au labda mpige mbuzi kagoma kuna usalama kweli hapo
 
Hii nilikuwa nawapa taarifa nyie ma infii maana mnaingia hasara sana kulipia rumu kwa 50000 alafu hulali unawahi ndoa nyumbani hili punguzo linawahusu sana nyie kuokoa gharama

Now there you are addressing the wrong person........
 
Back
Top Bottom