OFA YA JANUARY : Nauza Shuka za kudarizi kwa bei ya elfu Thelathini ( 30,000/=) Tu.

OFA YA JANUARY : Nauza Shuka za kudarizi kwa bei ya elfu Thelathini ( 30,000/=) Tu.

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
856
Reaction score
1,662
Jipatie shuka za kudarizi pamoja na foronya mbili kwa bei ya elfu Thelathini (30,000/=) Tu.

Size ni 6×6.

Delivery ni Bure kwa wakazi wa dar.

Usikubali kupitwa na ofa hii ya January , hivyo nitafute kupitia
0628 160058 / 0658 843438.

Karibuni sanaa.
 
Attachments

  • IMG_20250113_151432_214.jpg
    IMG_20250113_151432_214.jpg
    369.9 KB · Views: 3
  • IMG_20250113_150810_451.jpg
    IMG_20250113_150810_451.jpg
    340.7 KB · Views: 3
  • IMG_20250113_150140_307.jpg
    IMG_20250113_150140_307.jpg
    337.2 KB · Views: 6
  • IMG_20250113_144824_721.jpg
    IMG_20250113_144824_721.jpg
    318.9 KB · Views: 3
  • IMG_20250113_144250_782.jpg
    IMG_20250113_144250_782.jpg
    341.3 KB · Views: 2
  • IMG_20250113_143736_202.jpg
    IMG_20250113_143736_202.jpg
    327.2 KB · Views: 2
  • IMG_20250113_142514_738.jpg
    IMG_20250113_142514_738.jpg
    244.5 KB · Views: 2
  • IMG_20250113_145624_315.jpg
    IMG_20250113_145624_315.jpg
    297.9 KB · Views: 3
  • IMG_20250113_141456_086.jpg
    IMG_20250113_141456_086.jpg
    302.5 KB · Views: 2
  • IMG_20250113_153201_900.jpg
    IMG_20250113_153201_900.jpg
    379.1 KB · Views: 3
Dunia ya leo bado kuna watu mnauza mashuka ya kudarizi!! Na kuna wateja kabisa wanayanunua? Vipi, na vile vitambaa vya kudarizi vya kwenye makochi na meza unatengeneza?
 
Dunia ya leo bado kuna watu mnauza mashuka ya kudarizi!! Na kuna wateja kabisa wanayanunua? Vipi, na vile vitambaa vya kudarizi vya kwenye makochi na meza unatengeneza?
Ndio Dunia ya Leo Bado tunauza, na watu wananunua, sio Kila mtu anapenda mambo ya kizungu. Eehh na vitambaa natengeneza pia
 
Tangazo halijajitosheleza kuna matajiri hawapendi kuchoshwa kuanza kuuliza maswali kama "hizo shuka ni size ngapi"
 
Tangazo halijajitosheleza kuna matajiri hawapendi kuchoshwa kuanza kuuliza maswali kama "hizo shuka ni size ngapi"
Ahaa sawa, shukrani. Ngoja niongezee size.
 
Back
Top Bottom