Pamoja na yote kuna jambo nataka kukushauri nami niliambiwa...
Kama umri wako bado unaruhusu kuomba hizi nafasi kwa ajira zijazo labda baada ya miaka 4 kwa mfano...
Fanya hivi ili upate chet cha jkt..[emoji1313][emoji1313]
Wale form six wakienda kuripoti makambini mujibu wa sheria,wewe ibuka nao kajifanye na wewe ni six Sababu wakifika hawakaguliwi lolote kama wamemaliza six au vipi( hili nakubaliana nalo sababu nakumbuka 2017 hata sisi kambini kwetu hatukukagugliwa)
Isipokua watafanyisha usahili upyaaa,,,na hata vyeti vya jkt havionyeshi umesoma shule gan wala umemaliza six mwaka gani ni majina yako tuu matatu baas..
—huo ndio ushauri wangu kwako ndugu,japo inahitaji usiogope jitoe ibuka nao then cheti unapata kilaini miezi yako 3 na kitakusaidia.