future lawyer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 419
- 423
Majina yanyongeza kivp mkuunimengalia majina ya nyongeza naona kambi nyingi wametoa majina kwa alphabetical...kuna kambi wameeanza na herufi za majina zinazoanzia L...dah nikijichanganya hapo itakula kwangu mimi
Unamuingiza choo cha kike mwenzio. Makambini kote wanakuwa na majina, idadi na shule walizotoka. Kwani mwanafunzi aliyemaliza form six anajuaje kuwa kapangiwa Mafinga JKT na sio Ruvu au Mlale? Hayo majina si soft copy tu, unadhani kambini hayapo? Watamdaka vizuri tu.Kikubwa jiamini kama vilee umemaliza six ikibidi hata shule ukiulizwa danganya tuu,,,Sababu usaili mkifika mtafanya upyaa yan ili wawe na idadi yenu
Utapigwa, usirud kulalamika humukwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi zaidi ya miaka 12 sijawahi kufanikiwa.
najua humu ndani kuna watu wa aina tofautu tofauti, lengo langu ni kujiunga na jeshi la polisi hivyo kama kuna mtu humu ndani anao uwezo wa kunisaidia nikasajiliwa ndani ya jeshi la polisi...nitampa zawadi ya kiwanja, kiwanja hicho ni mari yangu kabisa, ni kikubwa 70*35....ni matumaini yanu maombi yanu yatamfikia mlengwa.
View attachment 1898297
Dah pole mwaya but kama unania kweli pigania unachoamini hakuna aijuaye kesho muamini mungu tunimezihangaikia sana hizi nafasi...yapata miaka 10 sasa tokea nilipo maliza kidato cha nne...mwaka jana nikabahatika kwenda jkt lakini bahati haikuwa yangu tukarudishwa nyumbani...kidato cha nne na la saba walirudi sisi wengine hadi leo tunasubiri kudra za mwenyezi Mungu...kwa kweli nimehangaika nimeenda hadi dodoma kupeleka maombi...ajabu ata kwenye interview siku itwa....
baba yangu amehudhunika zaidi hadi roho imeniuma...lakini bado sija kata tamaa pengine sijaandikiwa kwenye majeshi...nitafanya mambo mengine na nina uhakika ipo nafasi yangu nzuri sehemu ambayo mimi sijaijua...enh Mungu fungua akili yangu niyaone ninayo yamudu ....uniondolee tamaa ya vitu nisivyomudu kuvipata
Unamuingiza choo cha kike mwenzio. Makambini kote wanakuwa na majina, idadi na shule walizotoka. Kwani mwanafunzi aliyemaliza form six anajuaje kuwa kapangiwa Mafinga JKT na sio Ruvu au Mlale? Hayo majina si soft copy tu, unadhani kambini hayapo? Watamdaka vizuri tu.
Hivi ile project yako ya kilimo cha nyanya ikawaje tena ? ? Ulinihamasisha kwenye ile thread.asante kwa ushauri wako...nitaufanyia kazi
bado...naendelea ila kwa sasa nimesimama kwa muda....mwenye lile eneo aliamua kulitumia kwa kulijenga...ila bado maarifa yapo kichwaniHivi ile project yako ya kilimo cha nyanya ikawaje tena ? ? Ulinihamasisha kwenye ile thread.
kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu, nimehangaika kutafuta nafasi jkt miaka 8 mfululizo bila mafanikio, nimehangaika kutafuta nafasi za polisi zaidi ya miaka 12 sijawahi kufanikiwa.
najua humu ndani kuna watu wa aina tofautu tofauti, lengo langu ni kujiunga na jeshi la polisi hivyo kama kuna mtu humu ndani anao uwezo wa kunisaidia nikasajiliwa ndani ya jeshi la polisi...nitampa zawadi ya kiwanja, kiwanja hicho ni mari yangu kabisa, ni kikubwa 70*35....ni matumaini yanu maombi yanu yatamfikia mlengwa.
View attachment 1898297
haikuwa mission mimi ni mganga njaa tu...nalisumbukia tumbo...ajabu sikupata msaadaNafikiri kuna watu ulikuwa unawatafuta yaani huu uzi ni Mission umetumwa uwatafute watu wako