Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi


Kwani yule anayepitia makaratasi kujiridhisha na ile jinai ya Gwajiboy anasema je?
 
Unatafuta kazi ya kuzeeka ukiwa masikini otherwise uwe unabambikia watu kesi au unakula dili kubwa.
Fanya mengine jombaa mbinguni hatuendi na klauni za polisi.
 
Mwenyewe nimejaribu kuwaza, nikajikuta napata majibu kama yako mkuu.
nikisha kupima napata nini kiongozi...mimi nimtafutaji nimehangaika bila maanikio...watanzania tusiishi maisha ya kukariri kuwa kila mtu humu ni shushushu wengine tunashida na tunahitaji wakutusaidia...sasa nimeona mkono mtupu haulambwi...ama unataka nikuthibitishie kwa kufanyaje labda pengine...?
 
Noted.
 
humu kuna watu wanaishi kwa kukariri...bwana mimi ninashida...naomba watu wanisaidie mtu...mmoja anasema eti nawapima...mimi simpimi mtu...lengo langu ni kufanikiwa tu...
 
humu kuna watu wanaishi kwa kukariri...bwana mimi ninashida...naomba watu wanisaidie mtu...mmoja anasema eti nawapima...mimi simpimi mtu...lengo langu ni kufanikiwa tu...
Inawezekana ikawa kweli unahitaji msaada ila uwasilishwaji wa taarifa/ombi ukatengeneza maswali kwa mtu mwenye kuumiza akili.
 
Inawezekana ikawa kweli unahitaji msaada ila uwasilishwaji wa taarifa/ombi ukatengeneza maswali kwa mtu mwenye kuumiza akili.
tusiishi kwa kuzoea...watu mmeshazoea mtu aje alie lie....siku hizi ukilia unaonekana taperi...ukitoa zawadi kama mimi unaonekana shushushu...sasa ndugu yangu naomba uchukue nafasi yangu...ungekuwa ni wewe unashida kama zangu ungeomba kwa kutumia lugha gani...? nisaidie ndugu yangu nimetaitika...!
 
Muombe sana Mungu katika kufanikisha hitaji la moyo wako mkuu. Nikutakie kila la kheri.
 
Acha ufisadi na rushwa. Halafu utaanza kulalamika kuwa watu wanakula rushwa wakati wewe unajizagaza kirahisi hivi. pia ukipata upolisi utakula rushwa au kubambikizia watu kesi ili kuresha rushwa yako. Natamani atokee mjanja akichukue na kukutapeli ili uache kuwashwa washwa kumbaff mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…