Ofa ya kuchapisha (publish) maandiko ya tafiti kwenye jarida la nishati bure kabisa (MDPI)

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari marafiki,

Nimepewa ofa ya kupublish tafiti (papers) kwenye Journal ya Energies ya MDPI bure kabisa (free of chaji) katika topic zifuatazo:
1. Natural Gas Resources and Exploration
2. Natural Gas Reservoirs
3. Natural Gas Drilling Technologies
4. Natural Gas Processing and Optimization
5. Natural Gas Storage and Transportation
6. Liquefied Natural Gas (LNG)
7. Methane and Other Hydrates
8. Natural Gas Vehicles
9. Natural Gas Risk Management
10. Gas Control
11. Gas Sensors
12. Gas Emissions
13. Gaseous Pollutants

Kama kuna mtu yeyote anahitaji kushirikiana na mimi katika hili naomba tuwasiliane. Mwisho wa ofa yangu ni 28/02/2025.

Mawasiliano yangu:
Email: bandg.editors@gmail.com
Wechat ID: bandg_editors
Call: 0687746471
Whatsapp: 0612607426
 
Hiyo website Yako inaleta lugha ya kichina
 
Ila mdpi naskia ni kama sahiv inapigwa vita, na kuna vyuo wanaanza kui treat kama predatory.

Fafanua hayo maneno tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…