Website Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 822
- 416
sijakuelewa swali lakounatumia za AI?
Anauliza unaandika codes from the scratch au unatumia prompts za AI??sijakuelewa swali lako
miongoni mwa kazi zangu za mwaka huu ni
www.wildvantatours.com
www.restoreherdream.co.tz
www.marafikilogistics.com
www.venascare.com.au
www.wajenzibuilders.co.tz
www.nouvellesafaris.com
www.annedy.co.tz
www.premierhotel.co.tz
www.nauzagari.com
www.climatehubtz.org
www.fahatradingcentre.co.tz
natengeneza from the scratchAnauliza unaandika codes from the scratch au unatumia prompts za AI??
Offer ya 120,000 imeisha mtaalamu?huduma ya website design na domain name + hosting kwa 180,000 tu.
call/whatsapp 0797870940
bado ipo karibuOffer ya 120,000 imeisha mtaalamu?
Ok sawa sawabado ipo karibu
Not possible, you're just drawing attention in the form of marketing. Hiyo bei ni kwa hosting tuu ....huduma ya website design na domain name + hosting kwa 180,000 tu.
call/whatsapp 0797870940
180,000 nina host, nakusajilia domain, unapata email 5 za kampuni na website unapata..Not possible, you're just drawing attention in the form of marketing. Hiyo bei ni kwa hosting tuu ....
Kwamba Hugusi kabisa AI?natengeneza from the scratch
nimeanza kutengeneza website tokea 2015 hii ai iliyokuja 2022 imenikuta nina uzoefu wa miaka zaidi ya 7 ya kazi hii..Leta requirement ya kazi yako utengenezewe website kutoka hatua ya kwanza mpka mwisho bila ai kuguswaKwamba Hugusi kabisa AI?
Mimi nimeangalia hizi kazi zako tu ndio nimetumia kukuhukumu.Mimi nimeanza tangu 2007.Na kwa sasa hivi wala sihangaika kuandika codes wakati AI ipo na wala sioni aibu kutumia AI.Ninachofanya nikufanya minor adjustments tu Pale ninapoona AI inafanya mambo kuwa complex.nimeanza kutengeneza website tokea 2015 hii ai iliyokuja 2022 imenikuta nina uzoefu wa miaka zaidi ya 7 ya kazi hii..Leta requirement ya kazi yako utengenezewe website kutoka hatua ya kwanza mpka mwisho bila ai kuguswa
sioni mantiki ya hoja yako kwa sababu la muhimu najua ninachokifanya sioni ulazima wa kunilazimisha nitumie ai.Ninachomuhakikishia mteja ni kupata kazi yake kulingana na requirement zakeMimi nimeangalia hizi kazi zako tu ndio nimetumia kukuhukumu.Mimi nimeanza tangu 2007.Na kwa sasa hivi wala sihangaika kuandika codes wakati AI ipo na wala sioni aibu kutumia AI.Ninachofanya nikufanya minor adjustments tu Pale ninapoona AI inafanya mambo kuwa complex.
Usiogope kusema unatumia AI,Cha Muhimu ni Ujue kutumia AI vyema.Sisi tulianze kutumia Wordpress ikiwa changa,Tulikuwa tunatumia Microsoft Publisher kutengeneza Websites.