demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.
Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.
Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.
Hii ni ofa ya udhalilishaji.