Ofa ya Mshahara wa Mil 5 Kwa Mwezi Kwa Jonas Mkude Ni Udhalilishaji.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.

Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.

Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.

Hii ni ofa ya udhalilishaji.
 
Watakubaliana kama inafaa, na watakataa kama haifai, sio kwa sababu umesema, njaa au shibe za Mkude ndo zitaamua
 
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.

Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.

Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.

Hii ni ofa ya udhalilishaji.
Muajiri wewe umpe zaidi ya hizo
 
Wewe ni mke wa Mkude?
Mkataba ni Siri ya wahusika, wewe una hakika gani Mkude kapewa hela hiyo, ama hajaridhika nayo? Acha umbeya.
 
Feitoto alikuwa analipwa kiasi gani yaani akipewa mshahara hata wa milioni Moja ashukuru ila wakumbushe viongozi wako kumlipa Eymael
 
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.

Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.

Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.

Hii ni ofa ya udhalilishaji.
Milion tano? Kubwa sana hiyo
 
Watumishi wa Tamisemi wanawachora tu mnaosema mil 5 ndogo
 
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.

Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.

Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.

Hii ni ofa ya udhalilishaji.
Yanga wametoa ofa hiyo kwakuwa wanajua kuwa wanabet, hachelewi kuamkia vyuoni kwenye college bash siku ya game
 
Back
Top Bottom