Umri wake siujui ila kacheza simba miaka 13Ana miaka mingapi kwani?
Kwa mtu anayejitunza na kujituma anaweza kucheza hata miaka mitano mbele.Umri wake siujui ila kacheza simba miaka 13
Ohooo, utamponza mwenzio anyang'anywe tonge mdomoni. Au unataka aanze kuokota chupa tupu za plastiki mitaani , kama yule bondia wa Morogoro?Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.
Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.
Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.
Hii ni ofa ya udhalilishaji.
Muulize mama yako mzaziFeitoto alikuwa analipwa kiasi gani yaani akipewa mshahara hata wa milioni Moja ashukuru ila wakumbushe viongozi wako kumlipa Eymael
Mama yangu mzazi ni wewe ila nilikukimbia kwa tabia yako ya kujiuzaMuulize mama yako mzazi
Sasa akatae hiyo 5mil ya Uto aende akalipwe 1mil Dodoma jiji with signing fees ya 6mil.Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.
Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.
Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.
Hii ni ofa ya udhalilishaji.
Simba ndiyo imemshusha thamani Mkude kwa kumpa "thank you" (hivyo kaonekana galasa) kabla ya kupata timu.Yaani kama Yanga hawaoni alichofanya Simba vilee..
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.
Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.
Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.
Hii ni ofa ya udhalilishaji.
Wabongo huwawezi! mtu anadai m5 kwa mwezi ni ndogo wakati yeye hata laki tano kwa mwezi hapati!!Dah ila milioni 5 ni ndogo mno!