Ofa ya Mshahara wa Mil 5 Kwa Mwezi Kwa Jonas Mkude Ni Udhalilishaji.

Ofa ya Mshahara wa Mil 5 Kwa Mwezi Kwa Jonas Mkude Ni Udhalilishaji.

Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.

Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.

Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.

Hii ni ofa ya udhalilishaji.
Ohooo, utamponza mwenzio anyang'anywe tonge mdomoni. Au unataka aanze kuokota chupa tupu za plastiki mitaani , kama yule bondia wa Morogoro?
 
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.

Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.

Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.

Hii ni ofa ya udhalilishaji.
Sasa akatae hiyo 5mil ya Uto aende akalipwe 1mil Dodoma jiji with signing fees ya 6mil.

Kwa mtu aliecheza Simba kama yeye timu pekee anayoweza ku maintain status yake ni Yanga tu, sio kwengineko.

Kitu kimoja akumbuke kua yeye ni mchezaji huru hivyo signing fees yake haitokua kubwa
 
Sawa mama mkude tumekusikia maana nyie wamama wa wachezaji now mmekuwa na mdomo sana baada ya yule mama fei jinga kuingiza toto lake matatizoni na WANANCHI.
 
Simba ndiyo imemshusha thamani Mkude kwa kumpa "thank you" (hivyo kaonekana galasa) kabla ya kupata timu.

Yanga ingemfuata Mkude kabla kuonekana galasa pale Simba dau lingekuwa kubwa sana
Aisee
 
Nataarifiwa hapa kuwa Mazungumzo yaliyotamatika jioni hii kati ya Wakala wa mchezaji na Bwana Hersi yamefikia tamani.

Yanga wame-table mshahara wa Mil 5 kwa mwezi kwa mchezaji na pamoja na signing fee ya Mil 45.

Kisema ukweli sioni kama ni.ofa nzuri kwa mchezaji wa kaliba yake, tena mchezaji ambaye ni Lejendari katika timu anayo toka, Nina himiza negotiation team ya bw Jonas Mkude wasikubaliane na hii ofa.

Hii ni ofa ya udhalilishaji.

Mkude ni mzee kimpira, soko lake liko saa 10:59 jioni
 
Achukue hiyo au aende DODOMA JIJI akachukue mshahara WA laki 4 tar 52
 
Ayaa Sasa astafu Tuone kama atapewa pension yeyote Toka simba mana hiyoo tu ni kumuonea huruma mana wenzie washamstafisha Hilo ni Dili kubwa sana mkude sign kakiwashe uwaoneshe mkataba wa mwaka ukikiwasha naamini awatokubali mkataba ufike mwisho pasina maongezi ya kuongeza mkataba hapo ndo utawabana watakupa maslai saizi sahau akuna atakayekupa pesa ndefu atakuja chizi huo huligend uko ulipoupatia wameshindwa kuuheshimu usitarajie utaeshimika uendapo chukua pesa hyo nying sana WWE maji ya usiku Bora yangekua ya jioni walau
 
Mkude aka Nungunungu karibu sana Utopoloni, mwana huku utashangaa boli utakalopiga utapanda kiwango, scout ya Yanga Iko vizuri, Simba walikubania sana ikidaiwa eti ulimtaka bibie mke ya boss!

Ona huku Mudathir na Sureboy wako Taifa Stars kwa boli la ulaya wanalopiga sasa, Yanga ni jikoni Mzee baba, mil 5 Kwa mwezi fresh tu maana zamani hata mishahara hawakupewa na walipiga mpira mwingi!
 
Alikotoka alikuwa analipwa milioni 3.5.ashukuru
 
Back
Top Bottom