Ofa ya Ujenzi

Ofa ya Ujenzi

Joined
May 3, 2019
Posts
18
Reaction score
15
UTANGULIZI
Practical Idealist ni Account maalumu ya mitandao ya kijamii iliyoanzishwa na watu wenye taaluma na uzoefu mbalimbali katika tasnia ya ujenzi mnamo mwezi May, 2020 katika Jiji la Dar es Salaam huku lengo lake kuu ni kutoa msaada wa Ushauri(Consultation) bure kabisa kwa Watanzania wote wa kipato cha chini katika masuala yanayohusiana na ujenzi wa nyumba za makazi.

HUDUMA ZETU
Huduma zitolewazo na Practical Idealist Account ni kama ifuatavyo;
1)Ushauri kuhusu kanuni na taratibu za ujenzi wa nyumba za makazi.
2)Ushauri kuhusu viwanja vinavyokidhi ujenzi wa nyumba za makazi.
3)Ushauri kuhusu mpangilio bora wa ndani wa nyumba za makazi.
4)Ushauri kuhusu namna ya kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba za makazi.
5)Kutoa ramani za nyumba za makazi.
6)Kutoa makadirio ya ujenzi wa nyumba za makazi.
7)Kujadili na kubadilisha mpangilio wa ndani wa ramani za nyumba za makazi.
Huduma zote tajwa hapo juu ni bure kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyowekwa na Practical Idealist Account.

ANGALIZO
Practical Idealist Account inapenda kutoa angalizo kwa Watanzania wote ambao kwa njia moja au nyingine watapenda kufanya kazi na sisi kuzingatia mambo yafuatayo;
1)Huduma zote tajwa hapo juu zitafanyika bure kabisa kupitia njia ya kimtandao na si vinginevyo. Aidha Practical Idealist Account haitahusika na gharama zitakazojitokeza katika shughuli zitakazojitokeza ikiwa kama ni matakwa ya mteja.
2)Huduma zote tajwa hapo juu pamoja na nyingine zitakazojitokeza kama matakwa ya mteja hazitafanyika bure kwa nyumba zote za makazi zenye hadhi zifuatazo;
a)Nyumba za ghorofa
b)Nyumba zenye zaidi ya mita za mraba mia moja themanini (180 s.q.m)
c)Nyumba zenye idadi ya vyumba vya kulala vinne(04) na kuendelea.
d)Nyumba za ndani ya ardhi (underground au basement)
3)Huduma zote tajwa hapo juu zitafanyika kwa watanzania wote wenye sifa zifuatazo;
a)Awe ni raia wa Tanzania.
b)Awe na mtazamo chanya katika wazo hili la Practical Idealist Account.
c)Awe ni mtu wa kipato cha chini. Awe na uwezo wa kukusanya zaidi ya milioni 12 hadi 20 kwa kipindi cha miaka mitatu hadi minne.
d)Awe na lengo la kufanya shughuli za ujenzi wa nyumba za makazi.
e)Awe na WhatsApp na Email Account (Email Account si lazima sana).
f)Awe ni mteja wa Practical Idealist Account kwa mara ya kwanza.
4)Ramani za nyumba za makazi zitakazotolewa bure zitahusisha mchoro wa nyumba wa awali kabisa ujulikanao kwa jina la Floor Plan tuu na si vinginevyo. Mchoro huu wa awali utakuwa na vielelezo vyote ambavyo vinahitajika ili kumwezesha fundi kukamilisha ujenzi wa nyumba katika ngazi ya awali ijulikanayo kama Structural Level.
5)Vilevile makadirio ya ujenzi yatolewayo bure na Practical Idealist yatahusisha nyumba katika ngazi ya awali ijulikanayo kama Structural Level. Na makadirio haya hutoka kwa awamu tatu(03) kama ifuatavyo;
i.Ngazi ya Msingi (Sub-Structure or Foundation)
ii.Ngazi ya Mhimili (Super-Structure)
iii.Ngazi ya Paa (Roof-Structure)
Angalizo: Bei za vifaa (Building Materials) ni kulingana na wastani wa bei zilizopo katika masoko ya Jiji la Dar es Salaam.
6)Ni muhimu upatapo taarifa hizi au kuona wazo hili ni lenye manufaa kwa jamii yetu basi usisite kumuhabarisha na jirani yako ili huduma hii iwafikie Watanzania walio wengi na wenye dhamira ya dhati kabisa katika kufanya shughuli hizi za ujenzi.
7)Kumbuka, huduma zote zitolewazo bure na Practical Idealist Account ni kwa kujitolea tuu kwa niaba ya watanzania wa hali duni na hivyo basi huduma hizi zina ukomo wake.
"Non nobis solum nati sumus."
(Not for ourselves alone are we born.)
---Marcus Tullius Cicero---

Contact:
Mobile: +255789 8303 96
Email: kicheque47@gmail.com
 
Ahsante sana kwa moyo wako.Mimi naomba makadilio ya bati, Mbao za 4*2 na Mbao za 2*2 kuezeka Nyumba yenye ramani hii hapa ,pia naomba ushauri mbazi zipi ni bora kwa papi kati ya 2*2 na 3*2.
 
Attachments

  • IMG_20200425_160319.jpg
    IMG_20200425_160319.jpg
    117.2 KB · Views: 6
  • IMG_20200425_160305.jpg
    IMG_20200425_160305.jpg
    70.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom