OFA ZAIDI..Punguzo la bei mashine ya juice ( JUICE DISPENSER ) na unaongezewa OFA ya heavy duty blender

OFA ZAIDI..Punguzo la bei mashine ya juice ( JUICE DISPENSER ) na unaongezewa OFA ya heavy duty blender

Bac3

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
392
Reaction score
439
kuna tangazo langu humu la mashine ya juice (juice dispenser ) mitungi mitatu...sasa bei nimepunguza kutoka 850k hadi 750k ila pia nitakupatia na blender heavy duty free..ukaanze kazi moja kwa moja

kumbuka hii mashine ya juice ikiwa mpya inauzwa 1.3 hadi 1.5M kwenye maduka tofautitofauti..

kwa hiyo hapa unakuwa umepata bahati

juice dispenser hii ni mitungi mitatu..kila mtungi unabeba lita 18..jumla lita 54

ni heavy duty ina poza haraka saana...na kukoroga juice..

ukiwa nayo huna haja ya fridge

unaweza iweka mahali kokote inachukua ka sehemu kadogo..kwa hiyo kama uko town au una mgahawa au pembeni ya duka lako unaiweka unakuwa unauza juice

juice ina faida sana..hata kama ukiuza 1000 kwa glass bado faida ni kuuubwa sana

unaeeza uza juice aina tatu kwa wakati mmoja.

Blender hii ni heavy duty yaan kusaga juice ya biashara...ukiwa nayo hapo huna mahangaiko tena

PIGA SIMU 0683473391

MAHALI kinondoni dsm

BLENDER
1.jpg


JUICE DISPENSER

IMG_20250801_183134_038.jpg
IMG_20250801_183202_539.jpg

 
Back
Top Bottom