Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Wakuu.
I salute you kinsmen.
Huyu kijana ni uwezo wake mkubwa ndio ngumu kuuelezea
Alianza kuwa lulu tangu alipokuwa Tabora na sasa ni TRA inaitwa.
Leo yupo team kubwa yanga na dakika chache alizopewa tu boom!
Assist moja, chap chap.
Niliona kwenye mazoezi kijana anapewa free kick apige na guu lake la kushoto.
Kwahiyo nikaja kugundua yupo vizuri kwenye mipira iliyokufa!
Sasa nikawa nasubiri tu apewe nafasi nione
Nadhani maxi mpia nzingeli anatakiwa kujifunza namna ya kupiga kona kama chikola aka mrithi wa chezaji zigo pale national team kibu denis.
Kijana kiuhalisia hata nyie ndugu zangu mnaona kabisa kuwa akienda team ndogo kama simba pale anapata namba kabisa na hakuna wa kumuweka nje kabisa. Kijana ni exceptional talent sana.
Sio kama wachezaji wengine wanacheza kama wamebwia ugoro wa kutoka kaliua Tabora!
Sitaki kuwataja hao wachezaji ila bila shaka inakujia picha ya rasta mmoja pale msimbazi mwenye kutumia minguvu kama kuli wa bandarini..
Chikola ni mali wazee apewe nafasi kesho,