Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Heshima mbele wana JF
Picha hii ni moja ya kazi zetu za hivi karibuni.
Katika maisha tunasafari ndefu sana ya kufikia malengo yetu. Mara nyingi vijana wengi tumekuwa tukiangukia katika kundi la kulaumiwa na kutukanwa kuwa ni wazembe, hatujitumi, siyo wabunifu n.k n.k n.k Mimi binafsi nina malengo mazuri sana ambayo nimeyafanyia kazi karibia asilimia 40. Ila nimekutana na changamoto moja kubwa ya kukosa capital.
Kazi ninaweza tena kwa standard ya juu, document zote zipo sawa kasoro ni mtaji tu kwa ajili ya vifaa na mahitaji mengine muhimu. Sasa basi kutokana na uhitaji wangu wa kupata capital nimetafuta sana kwenye makampuni ya kifedha zikiwemo bank lakini sijafanikiwa kabisa, sasa nimeamua nitumie ujuzi wangu huu kutafuta wateja ili nipate mtaji.
Offer
Kwa yeyote anayetaka kuanzisha radio station tunamkaribisha tumpatie huduma kwa bei rahisi. Wewe utachagua kama unataka tankey project, yaani sisi tunakufanyia kila kitu baada ya makubaliano na malipo, kasoro sula la interview tu utatakiwa kwenda mara kwa mara TCRA.
Kwa kifupi:-
1. Tutakuandikia feasibility study na maombi ya leseni TCRA na kukukabidhi kwa jili ya kusubmit.
2. Tutaagiza vifaa vyote nje mpaka vinafika.
3. Tutafanya installations zote, studios na transmission.
4. Tutakufanyia scheduling na planning ya kila kitu.
5. Tutakusaidia kutafuta human resource
6. Tukikubaliana tutaisimamia radio yako kwa muda wa miezi 6 au mwaka.
N.k N.k N.k!
Gharama zitakuwa chini sana. Kwa aliyetayari anaweza kutuandikia barua pepe akijibu maswali yafuatayo:-
1. Jina la kampuni yako inayotaka kuanzisha radio.
2. Maeneo unayotaka kuanzishia radio.
3. Unataka isikike umbali gani.
4. Uko tayari kuanzia lini kutekeleza mradi huu.
5. Mawasiliano zaidi.
Hatua ya kwanza baada ya makubalino tutakuandikia proposal kamili.
Kisha tutumie email kwa:- consultancy@radiotz.com
Tungependa watu walioserious na ready kwa ajili ya hii project.
Asante.