Offer: Anayetaka kuanzisha radio station.

Offer: Anayetaka kuanzisha radio station.

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
726
Reaction score
320
Heshima mbele wana JF
Kazi zetu.jpg

Picha hii ni moja ya kazi zetu za hivi karibuni.

Katika maisha tunasafari ndefu sana ya kufikia malengo yetu. Mara nyingi vijana wengi tumekuwa tukiangukia katika kundi la kulaumiwa na kutukanwa kuwa ni wazembe, hatujitumi, siyo wabunifu n.k n.k n.k Mimi binafsi nina malengo mazuri sana ambayo nimeyafanyia kazi karibia asilimia 40. Ila nimekutana na changamoto moja kubwa ya kukosa capital.

Kazi ninaweza tena kwa standard ya juu, document zote zipo sawa kasoro ni mtaji tu kwa ajili ya vifaa na mahitaji mengine muhimu. Sasa basi kutokana na uhitaji wangu wa kupata capital nimetafuta sana kwenye makampuni ya kifedha zikiwemo bank lakini sijafanikiwa kabisa, sasa nimeamua nitumie ujuzi wangu huu kutafuta wateja ili nipate mtaji.

Offer
Kwa yeyote anayetaka kuanzisha radio station tunamkaribisha tumpatie huduma kwa bei rahisi. Wewe utachagua kama unataka tankey project, yaani sisi tunakufanyia kila kitu baada ya makubaliano na malipo, kasoro sula la interview tu utatakiwa kwenda mara kwa mara TCRA.

Kwa kifupi:-
1. Tutakuandikia feasibility study na maombi ya leseni TCRA na kukukabidhi kwa jili ya kusubmit.
2. Tutaagiza vifaa vyote nje mpaka vinafika.
3. Tutafanya installations zote, studios na transmission.
4. Tutakufanyia scheduling na planning ya kila kitu.
5. Tutakusaidia kutafuta human resource
6. Tukikubaliana tutaisimamia radio yako kwa muda wa miezi 6 au mwaka.

N.k N.k N.k!

Gharama zitakuwa chini sana. Kwa aliyetayari anaweza kutuandikia barua pepe akijibu maswali yafuatayo:-

1. Jina la kampuni yako inayotaka kuanzisha radio.
2. Maeneo unayotaka kuanzishia radio.
3. Unataka isikike umbali gani.
4. Uko tayari kuanzia lini kutekeleza mradi huu.
5. Mawasiliano zaidi.

Hatua ya kwanza baada ya makubalino tutakuandikia proposal kamili.

Kisha tutumie email kwa:- consultancy@radiotz.com
Tungependa watu walioserious na ready kwa ajili ya hii project.

Asante.
 
Radio JF hii kitu itakua kali sana na studioni kila siku tunaweka mijadala ya maana. Asante kwa idea kali
 
'safi mkuu keep it up kaka and i hope everything will be okay in the name of almighty......................endeleza mapambano mkuu,all the best'
 
'safi mkuu keep it up kaka and i hope everything will be okay in the name of almighty......................endeleza mapambano mkuu,all the best'

shukurani kwa dua zako kiongozi.
 
Jina tamu hili

'umeona kaka eeeh,vitu huanza kidogo kidogo kama hivi mkuu mwisho inakuwa kweli aisee..............huyo jamaa hapo juu eti anataka ulipie na tangazo asee unajua kuna watu wao wapo kuwanyima wenzao raha tu katika dunia hii,ameskia JF wanalipia matangazo tangu lini?'
 
Kweli ndugu. tutalipia ile ad ya pale juu tuikamate hata kwa wiki mbili huko mbele.
 
Kweli ndugu. tutalipia ile ad ya pale juu tuikamate hata kwa wiki mbili huko mbele.

'yah,najua kuwa watu hulipia matangazo ila sio kwa matangazo ya kwenye forums bwana..............anyway,haya kama mtalipia ya hapo juu nawatakia kila la heri mkuu'
 
'yah,najua kuwa watu hulipia matangazo ila sio kwa matangazo ya kwenye forums bwana..............anyway,haya kama mtalipia ya hapo juu nawatakia kila la heri mkuu'

Kweli mkuu! huku kwenye thread hatulipiii kama jamaa anavyosema. Kweli!
 
Kaka nakumbuka ulituwekea gharama za kufungua redio,nipo najitafuta nikipata mshiko nitawafuata tuone inakuaje,nataka nifungue mkoani kwetu
 
Muanzisha Thread jina lako nimelipenda maana hiyo kazi nimeipiga pia na pongezi kwako kwa kutaka kufanya kitu kwa ajili ya wahitaji. Ila jitahidi uwe wa tofauti maana vituo vingi vya redio vimekuwa vikianzishwa na kufa ndani ya kipindi kifupi!!
 
Kima cha chini niandae sh ngap kwa mchakato mzima?
 
Le mutuz naye anafungua radio nadhani haitokuwa tofauti na tbc taifa au radio uhuru.
 
Back
Top Bottom