OFFER, Jezi ya Simba Kwa TZS 10,000/- tu

Mbona nasikia ni za watoto tu jamani,
 
Kwakua msimu Mpya unakuja na jezi Mpya ndo wanataka kutoa old stock kwa nguvu.
 
Msimu ume isha naona wana anzaa kugawa matangazo yao nani anunue saivi.
 
Mbona wanasema zimeisha unakuta za watoto tu ukienda dukani kwao
 
Simba ana haribu biashara ya JISIEM [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…