mbaya kama weweMbayaaa
Jiangalie usije ukakalia kidole, we jitekenye tu!!Jezi utadhani ni sare za Mama ntilie! Hizo jezi hata mniuzie kwa ile bei yetu ya zamani ya buku 3, sinunui.
Usipanic mjomba , bora hata mimi siyo mbaya sana kama hizo jerseys πmbaya kama wewe
Acheni matusi, masimba nyie vipiπJiangalie usije ukakalia kidole, we jitekenye tu!!
Bila alama ya kiulizo kwenye sentensi yako, means ni maelezo tu tena umenisifia "we mzuri" thank youπ kama unauliza weka kiulizo nikujibu.we mzuri
Hizo ni zako?Zako nzuri?
ππ tubet mkuuOna huyu nae!.....sijui katoka kulala!? Kwa taarifa yenu kesho tunawafunga nneπ
Umeshawahi kukalia mara ngapi? Mbwa koko wewe.Jiangalie usije ukakalia kidole, we jitekenye tu!!
πππ.. sawa bia tano Simba ikifungwa nakutumia.ππ tubet mkuu
mbona unachekacheka tu, umeshakula utopolo?Usipanic mjomba , bora hata mimi siyo mbaya sana kama hizo jerseys π
Kwenda ukoo.Mbayaaa
Umelazimishwa? Umeombwa?Jezi utadhani ni sare za Mama ntilie! Hizo jezi hata mniuzie kwa ile bei yetu ya zamani ya buku 3, sinunui.
Unanunua ili uitumie kudekiaJezi utadhani ni sare za Mama ntilie! Hizo jezi hata mniuzie kwa ile bei yetu ya zamani ya buku 3, sinunui.
Una uhakika nisijeenda kuaibika nipo Dom