EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Natoa offer ya kuwatoa out mabinti wa humu waliopo Dodoma kufurahia Valentine nami leo baada ya saa za kazi unaweza kuja na rafiki yako au mwenyewe sina lengo zaidi ya kupiga story na kuachana baada ya time ya kulala ukiona imefika kumbuka Kesho ni siku ya kazi pia kama hujiamiani unaweza kuja na backup yako wa jinsia yoyote.
Karibuni sana
NB: Usije na ID mpya
Id mpy noma mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]NB
Id mpy noma mkuu[emoji3]
Woga ndio akili babu[emoji41][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]usiogope